Thursday, February 12, 2015


Mpaka dakika 90 zinamalizika United 3 Burnley 1Smalling akishangilia..
Van Persie alifunga bao la tatu kwa mkwaju wa penati baada ya Di Maria kuangushwa ndani ya boksi.Chris Smalling of Manchester United celebrates scoring his second goal with Ander HerreraMchezaji wa Manchester United Chris Smalling aliingia kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Phil Jones aliyepata majeraha na ndani ya dakika chache aliifungia bao la kwanza Man United katika dakika ya 6 na dakika ya 45 mwishoni kipindi cha kwanza aliwafungia bao tena Man United na kufanya 2-1 dhidi ya Burnley ambao wao walisawazisha mapema kupitia kwa kichwa baada ya kupigwa krosi kama kona  na Danny Ings kuipa bao Burnley na mtanange kumaliza kipindi cha kwanza Man United wakiwa mbele ya bao 2-1 dhidi ya Burnley kwenye Uwana wa Manchester United.
VIKOSI:
Man Utd: De Gea, McNair, Jones, Evans, Rojo, Blind, Rooney, Januzaj, Di Maria, van Persie, Falcao.
Akiba: Mata, Smalling, Ander Herrera, Valencia, Fellaini, Valdes, Wilson.
Burnley: Heaton, Trippier, Keane, Shackell, Mee, Kightly, Arfield, Jones, Boyd, Barnes, Ings.
Akiba: Lafferty, Duff, Wallace, Vokes, Reid, Jutkiewicz, Gilks.
Refa: Kevin Friend
Manchester United vs Burnley:
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog