Wednesday, October 22, 2014


Seydou Doumbia akishangilia na kupongezwa baada ya kutema cheche zake huku akijisifu kwa kutokea benchi na kuwaongoza wenzake kusawazisha bao dhidi ya Man City huko CSKA.CSKA Moscow wametoka nyuma ya bao 2-0 nakusawazisha bao zote mbili kupitia dakika ya 64 na Seydou Doumbia aliyeingia kipindi cha pili na bao la pili kufungwa kwa mkwaju wa penati na Bebars Natcho katika dakika ya Majeruhi 86 zikiwa zimebaki dakika nne mpira kumalizika.Sergio Aguero akipachika bao la kwanzaSergio Agüero atupia bao dakika ya 29 na kuitanguliza City mbele kwa bao 1-0 huku bao la pili likifungwa dakika ya 38 na James Milner.UEFA CHAMPIONS, Leo Jumanne Usiku saa moja inaanza Mechi zake za Tatu za Makundi ambapo safari hii Timu zitakazocheza zitakuwa zinacheza nje ndani, yaani kukutana Wiki hii na kurudiana Timu hizo hizo katika Ratiba inayofuata.Wachezaji wa City wakipasha

Mabingwa wa England, Man City wanaenda huko Moscow, Urusi kucheza na CSKA Moscow huku Timu zote hizi zikisaka ushindi wa kwanza katika Kundi lao.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog