Warembo wanaotarajia kushiriki
mashindano ya Redd’s Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika
ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee,
Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika TCC Club, Chang’ombe Agosti
22, mwaka huu.
Ni mazoezi kwa kwenda mbele.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Rebecca na Neema Mollel wakiendelea na mazoezi hayo
0 maoni:
Post a Comment