Mikel Arteta aliongoza Mtoko huo
Alex Oxlade-Chamberlain na Jack Wilshere wakiingia kwenye baa ya Novikov Bar.
Wachezaji wa Arsenal Arsenal Alexis Sanchez, Jack Wilshere, Mikel Arteta na wengine kibao walisherehekea Ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Man City na kutwaa kombe la Community Shield.Wachezaji hao walionekana kwenye Ukumbi wa Bar wa Maraha huko Mayfair Novikov ukiwa ni Mtoka wa nguvu usiku huo wa Jana.
Alexis Sanchez, Mikel Arteta, Jack Wilshere, Alex Oxlade-Chamberlain, Wojciech Szczesny na wengine kibao walionekana katika Bar hiyo ya Novikov jana Jumapili.
Jembe jipya!! Alexis Sanchez
Sanchez akiwa na girlfriend wake Laia Grassi kwenye Gari
Sanchez
Kipa Wojciech Szczesny na girlfriend wake Marina Luczenko
Szczesny na kipenzi chake jana usiku
Mr Arsenal: Arteta
0 maoni:
Post a Comment