Wednesday, February 19, 2014


0,,13138~12573855,00
• Bayern wamelishaionea Arsenal kwa kuifunga mabao 3-1 msimu uliopita katika dimba la Emirates, hii ilikuwa katika hatua ya 16 bora mechi ya kwanza.
Hii ni mara ya nne Bayern wanakuja kucheza England katika kipindi cha miezi 12 iliyopita na wamefanikiwa kushinda mara 3, ikiwemo mechi ya fainali dhidi ya Borussia Dortmund iliyochezwa mwezi May 2013 katika dimba la Wembley.
Kama kocha wa FC Barcelona, rekodi ya Guardiola dhidi ya  Arsenal ilikuwa ushindi mara 2, sare 1, kufungwa 1. Timu yake ilifungwa katika raundi ya 16 bora Emirates stadium 2-1, kabla ya kwenda kushinda 3-1.
Wachezaji Aaron Ramsey, Kim Källström, Abou Diaby hawatocheza mchezohuu upande wa Arsenal kwa sababu ni majeruhi, Mikel Arteta amesimamishwa.
Franck Ribéry ataukosa mchezo wa leo kufuatia upasuaji aliofanyiwa hivi karibuni wakati pia Shaqiri ameondolewa kikosini baada ya kuumia wikiendi iliyopita. Bastian Schweinsteiger na Daniel Van Buyten amerudi kikosi mwa Bayern.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog