Wednesday, February 19, 2014


MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema Msimu wao mzuri ndani ya England umewapa imani kubwa kuwa watawatoa Mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich, kwenye Mechi zao za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI.

Arsenal, kwenye Ligi Kuu England, wapo Nafasi ya Pili Pointi 1 nyuma ya Vinara Chelsea na pia wapo kwenye Robo Fainali ya FA CUP ambayo watacheza na Everton.

leo Jumatano Usiku watakuwa kwao Emirates kucheza na Bayern Munich kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UCL.


 
 


Raundi ya Mtoano ya Timu 16
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Februari 18

Manchester City 0 v FC Barcelona 2
Bayer 04 Leverkusen 0 v Paris Saint-Germain 4

Jumatano Februari 19
22:45 AC Milan v Atletico de Madrid
22:45 Arsenal FC v Bayern Munich

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog