Wednesday, February 19, 2014

All smiles: Jack Wilshere (centre) leads the way during an Arsenal training session on Tuesday
Wachezaji wa klabu ya Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho mwisho kujiandaa na mechi dhidi ya Bayern Munich itakayofanyika usiku huu. Arsenal imeonekana kuwa na matumaini zaidi msimu huu kutokana na kiwango chake kizuri ambacho kimeonekana hadi sasa. Msimu uliyopita Arsenal ilionesha mpira mbovu kwenye mchezo wa nyumbani (Emirates) jambo lililopelekea kufungwa na Bayern Munich. Msimu huu wachezaji pamoja na kocha wameonekana kuwa na nguvu mpya na kujiamini kuwafunga Munich kwenye mechi ya leo. Matokeo ya wikiendi kati ya Arsenal na Liverpool, ndiyo yanaipa Arsenal nguvu zaidi na kuifanya Munich kuwa na hofu, kwani Arsenal ilicheza mchezo mzuri na kufanikiwa kuifunga Liverpool kwa magoli 2-1. 
Preparation: Wenger puts his squad through their paces ahead of their clash with Bayern on Wednesday
Compatriots: Bayern will know all about German internationals Mesut Ozil, Lukas Podolski and Per Mertesacker
Wajerumani wanaotarajiwa kushuka dimbani usiku huu kuoneshana uwezo na Wajerumani wenzao. Arsenal inatarajia kuwategemea kwa kiasi wachezaji hawa kutokana na uzoefu wao kwenye ligi ya Ujerumani na namna wanavyowajua wachezaji wenzao wa Ujerumani.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog