Luis
Suárez ndie aliyeanza kuliona lango la Apoel Nicosia kipindi cha kwanza
dakika 27 kisha bao zilizofuata ni za supa Staa Lionel Messi akifunga
Hat-trick usiku huu na Kuvunja Historia bao pili akilifunga dakika ya
38, Kipindi cha pili alifunga bao mbili dakika ya 58 na dakika ya lala
salama dakika ya 87.Messiakifikisha bao 74 usiku huu na kuvunja rekodi ya RaulMessi akishangilia bao lake baada ya kutupia hat-trick na kuvunja rekodi ya Raul.
0 maoni:
Post a Comment