Monday, March 23, 2015


Luis Suarez akishangilia vikali baada ya kuishindilia bao la Ushindi Real Madrid na kuipatia Ushindi wa El Clasico Barcelona wa bao 2-1 leo huko Camp Nou.Kipindi cha pili dakika ya 56 Luis Suárez aliifungia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Real baada ya kupata mpira kutoka kwa
Daniel Alves. Ushindi huu umeipaisha Barcelona juu kileleni wakiwa na pointi 68 nyuma ya pointi 4 Real Madrid ambao mpaka sasa wamebakia nafasi ya pili wakiwa na pointi 64. Valencia ambaye yupo nafasi ya tatu anapointi 60 nae nyuma ya pointi 4 kuikama ta Real.
Ronaldo akioneshwa kadi ya njanoRonaldo akipongezwa..Cristiano Ronaldo of Real Madrid CF celebrates as he scores their first and equalising goalRonaldo akishangilia bao lake la kusawazishaRonaldo aliisawazishia bao Real
Dakika ya 31 Cristiano Ronaldo aliisawazishia bao Real na kufanya 1-1akilishwa mpira na Karim Benzema.
Baadhi ya Wachezaji wa Barca wakimpongeza mwenzao baada ya kuifungia bao Dakika ya 19 kipindi cha kwanza Barcelona wanapata bao kupitia kwa Jérémy Mathieu na kufanya 1-0 dhidi ya Real Madrid baada ya Lionel Messi kupiga mpira wa adhabu - Friikiki.Sergio Ramos aipagawa baada ya Jeremy kuwaua bao la kwanza...Mpaka ndani ya nyavu za RealJeremy Mathieu of Barcelona (R) scores their first goal with a headerJérémy Mathieu akiwaua Real bao kwa kichwa!Pepe baada ya kumwangusha chini NeymarGareth Bale akituliza mpira kiuzuri!Cristiano Ronaldo akimiliki mpira.Bale akiendesha mpira kipindi cha kwanza.Gareth Bale of Real Madrid CF is chased by Neymar of BarcelonaBale akikimbizwa na NeymarBarcelona line up prior to the La Liga match between FC Barcelona and Real Madrid CFKikosi cha BarcelonaKikosi cha Real Madrid

Mwamuzi wa kati ni Antonio Miguel Mateu Lahoz na Mashabiki waliongia kuuona mtanange huu ni 99,000.VIKOSI:
BARCELONA XI: Bravo, Alves, Pique, Mathieu, Alba, Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar
AKIBA: Ter Stegen, Busquets, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano.
REAL MADRID XI: Casillas, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric, Kroos, Isco, Bale, Benzema, Ronaldo
AKIBA: Keylor Navas, Varane, Arbeloa, Illarramendi, Lucas Silva, Jese, Chicharito.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog