Monday, November 25, 2013


Paul Okoye akiimba Wasanii wa kundi la P- Square (Peter na Paul Okoye) jukwaani wakiwaburudisha wakazi wa jiji la Dar es salaam usiku huu wa tarehe 23.11.2013 jijini Dar ukumbi wa Leaders Club Kinondoni
watu


Mwanamuziki wa kundi la P square, Peter Okoye, akionesha uwezo wa kulimudu gitaa

Peter na Paul Okoye jukwaani










Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kupitia televisheni ya Chanel 5 Dulla (Abdallah Ambua) mapema ndie aliefungua Show hiyo kwa kuwaita washindi kundi la asilimia 100%
T-bway










, Benard Paul 'Ben Pol'














Msanii mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee akiimba jukwaani kuwatumbuiza mashabiki

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog