Monday, November 25, 2013



Mrembo aliyechunukiwa na Peter akiwa jukwaani baada ya kuitwa na kujitokeza
....akinyoosha mkono
...akivishwa saa ya bei mbaya na Peter, ambaye alisema ameoa Nigeria wiki iliyopita na Bongo anaoa pia.....
....sogea nikubusu my 'Beautiful Onyinye....!
....mmmwaaaa!!!
....ni kama anamnong’oneza ‘jamani Peter wewe si unanitafutia balaa na mkeo’....hahahahaha!!!
....this is my beautiful Onyinye oooo!! 
".....oooo 'tank' you 'tank' you my Onyinye......!!"
.....Mr. P is getting back to business now, lol!! 
.....akiimba kwa hisia kali!
...o!o!o!o!, this guy yooo, is crying oohhh!!! 
.......jukwaa lilikuwa lao, walilitawala walivyotaka! 
...hapa kazi ni kazi tu! 
....warembo wengi  walipagwa na mengi, ikiwemo bodi ya Mr. P!!! 
Ooooo, mambo ya Diaomond haya sasa!!! 
...ilikuwa ni shoo Live ya ukweli! 
Peter na Paul Okoye 'wakilivamia' kiukweli jukwaa la Leaders.
Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square.
......baada ya shoo kali ya masaa matatu, sasa inatosha Dar es salaam..asante sana...’tank yo! tank yo’!!! 
WEUSI ON STAGE... 
Joh Makini akilitawala jukwaa.
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini.


Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki
.
Machozi Band nao walikuwepo kumback up Jide.
R&B SINGER, BEN POL ON STAGE...
Ben Pol akiimba sambamba na mwanadada.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog