Sunday, May 17, 2015


Bony akiwafunga bao Swansea na kufanya 4-2 kwenye Uwanja wa Liberty Kipindi cha pili dakika ya 74 Yaya Toure alifunga bao la tatu na kufanya 3-2 na dakika za mwishoni mchezaji wa zamani wa Timu ya Swansea City anayekipiga kwa sasa katika klabu yake mpya ya Man City Wilfried Bony akitokea benchi aliwapatia bao la nne dakika ya 90 na mtanange kumalizika dakika 90 kwa bao 4-2 dhidi ya Wenyeji Swansea.Yaya Toure akimpongeza MilnerKipindi cha pili dakika ya 64 Bafetimbi Gomis aliwasawazishia bao Swansea City kwa kufanya 2-2.Sigurdsson dakika ya 45 kipindi cha kwanza alifunga nae bao na kuifanya Timu yake Swansea City kwenda mapumziko ikiwa nyumma ya bao 2-1 dhidi ya City.
Milner dakika ya 36 aliifungia bao la pili Manchester City na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Swansea City.Yaya  Toure akiachia shuti kali na kuguswa guswa na Mabeki wa Swansea City na kuubadili mwelekeo mpira na kuzama moja kwa moja langoni mwao.Yaya Toure akika ya 21 anaifungia bao la kuongoza City

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog