DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON
Diamond
Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage
katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza baada ya msanii huyo mwenye
jina kubwa Tanzania na Duniani kwa ujumla akiwa na timu yake
walipotembelea Ubalozi huo mjini London.Diamond na vijana wake wakiiingia kwenye office za UbaloziWCB ndani ya mjengoMhe Balozi akimkaribisha DiamondDiamond nae akimshukuru Mheshimiwa Balozi kwa mwaliko wake Diamond Akitia saini Kitabu cha wageni
0 maoni:
Post a Comment