Sunday, September 20, 2015





Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Septemba 19, 2015





Aliekuwa Meya Mji wa Bukoba, Anatory Amani akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.



0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog