Wednesday, February 12, 2014


Kikosi cha Azam FC kikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa Dar es Salaam tayari kwa safari ya Mozambique, Azam FC wamesafiri kwenda Msumbiji kupambana na klabu ya Ferroviario katika michuano ya wawakilishi barani Afrika. Wakati Azam wakielekea Msumbuji, wapinzani wao Ferroviario bado wapo nchini tokea wacheze na Azam wikiendi iliyopita wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Azam complex kufanya mazoezi kabla ya kupaa usiku huu. 

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog