Wednesday, February 12, 2014


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati hafla ya maonesho maalumu ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam jana usiku, Feb 11,2014. 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu maonesho ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, kutoka kwa Ofisa Mipango wa Taasisi ya Aga Khan, Navroz Lakhani, wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo jana usiku

Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa na wenyeji wake ukumbini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu maonesho ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, kutoka kwa Ofisa Mipango wa Taasisi ya Aga Khan, Navroz Lakhani, wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo jana usiku
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo.
Katibu Mkuu wa Chadema, Willbload Slaa, akitembezwa kujionea maonesho hayo.
 
 Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba, akisikiliza kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
 Viongozi wa CHADEMA, wakisikiliza kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais.
 Viongozi wa CHADEMA wakijadiliana jambo wakati wa Kongamano hilo.
 Spika wa Bunge Anne Makinda na baadhi ya viongozi waliohudhuria.
 Baadhi ya viongozi waliohudhuria Kongamano hilo......

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
 Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki Kongamano hilo baada ya ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
 

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog