Wednesday, March 19, 2014



Man Utd: De Gea, Da Silva, Jones, Ferdinand, Evra, Welbeck, Giggs, Carrick, Valencia, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Hernandez, Young, Fletcher, Kagawa, Fellaini, Januzaj.

Olympiacos: Roberto, Leandro Salino, Manolas, Marcano, Holebas, Perez, Ndinga, Dominguez, Maniatis, David Fuster, Campbell. Subs: Megyeri, Paulo Machado, Samaris, Haedo Valdez, Papadopoulos, Vergos, Bong Songo.

Klabu ya Man utd imeingia robo fainali ya Uefa champions baada ya kuipiga Olympiacos magoli 3-0. Tofauti na wengi walivyokuwa wakifiria Man utd imeweza kuonesha mpira wa kiwango cha juu na sifa kubwa ziwaendee RVP aliyefunga magoli yote na kipa De Gea aliyeweza kuokoa mipira mingi ya hatari. Kasi na kucheza kwa juhudi kubwa ndiyo chachu ya ushindi wa United hali ambayo ilikuwa ni lazima Olympiacos walale. Ushindi wa leo unarudisha umoja na hari ya kujituma ndani ya uwanja baina ya wachezaji wa Man utd hali ambayo ilikuwa imekufa. Man utd inaongana na washindi wengine saba kuingia kwenye robo fainali ya michuano hii ambao ni PSG, Real Madrid, Chelsea, Bayern Munich, Barcelona, Dortmund na Atl. Madrid. Droo baina ya timu hizi itafanyika ijumaa ya wiki hii.

View image on Twitter
Babu alikuwepo kuwaangalia vijana wake 
Yaya Toure pia alikuwepo uwanjani 

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog