Wednesday, March 19, 2014



BALE_d14c1.jpg
Gareth Bale akimkumbatia Christiano Ronaldo baada ya mreno huyo kupachika goli dhidi ya Shalke 04.
Mchezaji bora duniani mwaka huu Cristiano Ronaldo alifunga mabao mawili na kuisadia timu yake ya Real Madrid ya Uhispania kufuzu kwa hatua ya timu nane bora za ligi kuu ya mabingwa ulaya baada ya kuinyuka Schalke 04 kutoka Ujerumani mabao 3-1 katika mechi ya mkondo wa pili iliyochezwa katika uwanja wao wa nyumbani ,Bernabu.
Ronaldo alifungua kichapo hicho kwa kutinga wavuni pasi safi kutoka kwa Gareth Bale katika eneo la lango.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog