Saturday, July 18, 2015


Mchezaji wa Manchester City  Samir Nasri akipongezwa na wenzake akiwemo  Yaya Toure alipoifungia bao dakika za mwishoni dakika ya 86 leo hii huko Australia kwenye mechi ya Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2015/2016

Ushindi! Nasri akipongezwa
Nahodha wa City  Vincent Kompany akipambana kwenye mpira wa Kona leo dhidi ya Melbourne City ya huko Australia.

Yaya Toure akipambana na Wachezaji wawili wa Timu ya Melbourne leo kwenye mtanange wa kirafiki.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog