Mchezaji
wa Manchester United Marouane Fellaini ndie aliyewafungia bao la
Ushindi katika dakika za majeruhi za dakika 90 muda wa nyongeza. Kwenye
dakika za lala salama dakika za nyongeza Marouane Fellaini aliwafungia
bao la Ushindi Manchester United baada ya kupata mpira kutoka kwa Tyler
Blackett na kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Valencia kwenye
kipute hicho cha Kirafiki hapo Old Trafford na ikiwa ni mechi ya kwanza
kuiongoza kocha mpya Van Gaal katika Uwanja huo wa Mashetani wekundu.
Dakika ya 71 Valencia walisawazisha bao kupitia kwa Rodrigo.
Kipindi cha pili dakika ya 49 Darren Fletcher aliwapachikia bao Manchester United na kufanya 1-0 dhidi ya Valencia. Hadi mapumziko hakuna timu iliyoliona lango la mwenzake kati Manchester na Valencia licha ya Rooney kukosa penati katika kipindi cha kwanza dakika ya 33 baada ya mpira huo kukonga posti ya lango.Phil Jones na Paco wakikabana Meneja Van Gaal na Msaidizi wake Ryan Giggs wakiwacheki Vijana wao wakisukuma ngozi Old Trafford Usiku huu.Phil Jones akilinda eneo lake Paco wa Valencia akichuana na FletcherWayne Rooney kwenye patashika za hapa na pale huku akinyemelewa na mchezaji wa Valencia leo kwenye mchezo wao kirafiki na Timu ya Valencia.Mapema kabla ya Maechi Meneja mpya wa United Van Gaal akimwaga wino kwa mashabiki wa United kwenye mechi yake ya kwanza Pld Trafford.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea; Jones, Smalling, Blackett; Young, Fletcher, Herrera, James; Mata; Rooney, Hernandez
Subs: Amos, M Keane, Cleverley, Fellaini, Kagawa, Lingard, Januzaj
Goals: Fletcher 49, Fellaini 90+1
Valencia: Alves; Barragan, Vezo, Otamendi, Gaya; Parejo, J. Fuego, Andre Gomes; Feghouli, Alcacer, Rodrigo
Subs: Yoel, Piatti, Joao Pereira, De Paul, Guardado, Orban, Mustafi,Vinicius Araujo, Robert, Carles Gil, Domenech Jaume
Goal: Rodrigo 71

0 maoni:
Post a Comment