Wednesday, August 13, 2014


Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino kurithi nafasi yake Alejandro Sabella
Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino kuiongoza timu ya taifa baada ya kung'atuka kwa kocha wa zamani Alejandro Sabella.
Martino, 51, alifurushwa kutoka Barca mwisho wa msimu uliyopita baada ya kushindwa kushinda taji lolote kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 2007.
Aliwahi kuwa meneja wa Paraguay kati ya mwaka wa 2006 na 2011 alipowaongoza kufuzu kwa robo fainali ya kombe la dunia la 2010 .
Gerardo Martino Named Argentina Manager: Latest Details, Comments, Reaction
kocha wa zamani Sabella aliondoka baada ya kushindwa kwa bao moja kwa nunge na Ujerumani katika fainali ya kombe la dunia huko Brazil.
Martino alimrithi kocha wa zamani wa Braca Tito Vilanova mwezi Julai 2013,Camp Nou baada ya kutia sahihi kandarasi ya miaka 2 .
Katika kipindi hicho Barca ilisajili ushindi katika mechi 40 kati ya 59 alizokuwa kocha lakini wakashindwa kusajili ushindi wowote wa tuzo la bara ulaya.

Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino kurithi nafasi yake Alejandro Sabella
Barcelona ilishindwa na Atletico Madrid katika hatua ya robo fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika.
The Catalans walishindwa tena na vibonde wao Real Madrid katika fainali ya kuwania kombe la Copa del Rey.
Punde baada ya kuondoka kwake Camp Nou Barcelona,ilimteua Luis Enriqueas kurithi nafasi yake.
Atajulishwa rasmi hapo kesho (Alhamisi) kama mkufunzi wa Argentina.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog