Wednesday, August 13, 2014



Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akifafanua jambo kwa washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100% wakimsikliza kwa makini Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akipozi kwenye picha na baadhi ya washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100% litakalofanyika Agosti 23 walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Baadhi ya washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100% wakifurahi jambo pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu wakati walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agost 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Najenjwa Mbagga akifafanua jambo kwa baadhi ya washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni hiyo.Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Mmoja wa wafanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa wateja Eunice Mjema akiwaelezea baadhi ya washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% jinsi wanavyotoa huduma kwa wateja mara walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Meneja wa Huduma kwa wateja ,Neema Kisanga akiwaasa washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% juu ya kuweza kujituma na kujithamini kwa kuendeleza vipaji vyao ili waweze kufikia malengo yao, wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Mmoja wa washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100% akionyesha moja ya staili ya kucheza zinazotumika katika shindano hilo wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

SIJASAHAU ENZI ZANGU. Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akionyesha umahiri wake wa kusakata miondoko ya Dance sambamba na mmoja wa washiriki aliyeingia robo fainali ya shindano la Dance 100%wakati walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Mmoja wa washiriki aliyeingia robo fainali katika shindano la Dance100% akimfundisha Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation,Yessaya Mwakifulefule namna ya kucheza staili ya “Huku!” wanaoitumia katika shindalo hilo wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Ofisa Mkuu wa Masoko Charity Safford akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki war obo fainali ya shindano la Dance 100% wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hili lilliloandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania litafanyika Agosti 23 na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Mkuu wa Idara ya kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akifafanua jambo kwa baadhi ya washiriki wa robo fainali ya shindano la Dance 100% wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Baadhi ya waashiriki wa robo fainali ya shindano la Dance 100% wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana Duniani iliyofanyika jana duniani kote.Kampuni hiyo ni wadhamini wakuu wa shindano hilo ambapo robo fainali itafanyika Agosti 23 mwaka huu kwa kuvishindanisha vikundi 16.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog