Thursday, July 17, 2014


 MARIO Gotze, maisha yanamwendea safi kabisa.
Akitokea kushinda  kombe la dunia na nchi yake ya Ujerumani baada ya kufunga bao la dakika za nyongeza, mshambuliaji huyo wa Bayern Munich ameanza likizo akiwa na demu wake kipenzi,  Ann-Kathrin Brommel maeneo ya Ibiza.
Wawili hao wamepigwa picha wakifurahia maisha kwenye jua tamu  juu ya boti.
Angalau nyota huyo mwenye miaka 22 anastahili kufanya hivyo baada ya kutoa mchango wake wa kuwafanya Ujerumani wawe mabingwa wa dunia nchini Brazil.
Winning: Germany World Cup winner Mario Gotze and his model girlfriend Ann-Kathrin Brommel relax
Mshindi: Nyota aliyewapa Ujerumani kombe la dunia,Mario Gotze akila bata na mpenzi wake, mwanamitindo, Ann-Kathrin Brommel.
Relaxing: Gotze and his model girlfriend Brommel chill on their boat in the sunshine
Bata batani!: Gotze na demu wake Brommel wakiwa wametulia juani juu ya boti yao
Time to relax: Brommel joins her boyfriend as Gotze sunbathes on the boat in Ibiza
Muda wa kupunga upepo: Brommel akiwa na basha wake maeneo ya Ibiza
Peckish? Gotze and Brommel share some grapes on board the boat as they relax after a hectic summer
Chukua bebii? Gotze na Brommel wakifurahi pamoja.
Lavish: The pair were taking a break after all the excitement of winning the World Cup
Nifunike `hanii`: wawili hao wakila bata baada ya kushinda kombe la dunia majira haya ya kiangazi nchini Brazil
Proud: Brommel was on holiday with Gotze after the Germany midfielder won the 2014 World Cup
Anajivunia kidume: Brommel yupo likizo na Gotze baada ya kiungo huyo wa Ujerumani kushinda kombe la dunia.
That's how to celebrate: Brommel was seen on the pitch in Brazil after Germany won the World Cup
Brommel alionekana uwanjani nchini Brazil baada ya Ujerumani kutwaa `ndoo` ya dunia
Well earned: Gotze was relaxing in Ibiza, Spain, after scoring the decisive goal in the World Cup final
 Gotze akipumzika maeneo ya  Ibiza, Hispania, baada ya kufunga bao zuri lililowapa ubingwa Ujerumani
Spotted: Gotze was taking time off before returning to Bayern Munich after winning the World Cup
Gotze akiwa mapumzikoni kabla ya kurudi kuungana na Bayern Munich
Celebrations: Match winner Gotze said the German players would enjoy a great party after the World Cup
Shangwe: Mshindi wa mechi,  Gotze alisema wachezaji wa Ujerumani wanatakiwa kufurahia pati `bab kubwa` baada ya kushinda kombe la dunia. 
Victory: The forward scored the only goal after the 1-0 extra-time win against Argentina
Champions: Gotze and Andre Schurrle celebrate Germany's World Cup win on their return to Berlin
Mabingwa: Gotze na Andre Schurrle wakishangilia ubingwa wa Ujerumani mjini Berlin

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog