Mwinyi Kazimoto Mwitula (kulia) akifanya vitu vyake kwenye moja ya mechi za Taifa Stars siku za nyuma
Na Boniface Wambura, Dar es salaam
Imechapishwa Julai 17, 2014, saa 8:27 mchana
Kikosi
cha Taifa Stars kimerejea jijini Dar es Salaam leo kutoka Mbeya ambapo
Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kitapambana na Msumbiji (Mambas) kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Benchi
la Ufundi la Taifa Stars pamoja na wachezaji kesho (Julai 19 mwaka huu)
saa 5 asubuhi watakuwa na mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli
ya Protea Courtyard iliyopo Upanga Seaview jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Post a Comment