Pichani
ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano
na Mtangazaji wa kipindi cha “Mimi na Tanzania” Hoyce Temu nchin
Marekani.
Mpigie
Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang’ayiro cha
kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu
ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya
mahojiano na mrembo huyo.
Usikose
kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha “Mimi na
Tanzania” Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014 Saa saba mchana katika kituo
cha Televisheni cha Channel Ten.
Miss
Tanzania 1999 ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha “Mimi na
Tanzania” Hoyce Temu akipata ukodak na Miss Tanzania USA, Joy Kelemera
baada ya mahojiano maalum nchini Marekani.
Namna ya kushiriki kumpigia kura moja kwa moja kwenye profile yake Bonyeza hapa
utakuwa umeingia kwenye profile ya Joy Kalemera na bonyeza kitufe
chenye alama ya mkono (sehemu iliyozungushiwa duara na wino mweusi) na
moja kwa moja utakuwa umempigia kura Mtanzania mwenzetu anayeiwakilisha
vyema nchini yetu kwenye kinyan’ganyito hicho.
NOTE: Unaweza kupiga kura mara nyingi uwezavyo kila baada ya dakika mbili kwa kubofya sehemu ile ile.
Let us all wish her all the best! Ushindi wake ni wa Nchi! Piga Kura Sasa!
Pichani ni Hoyce Temu, Joy Kalemera na camera crew/IskaJojo studios (katikati) aliyefanikisha kukerokodi maojiano hayo.
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu na Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi za madaha.
0 maoni:
Post a Comment