Wednesday, July 30, 2014




Cristiano Ronaldo ambaye anawaona watu wanavalia jezi za Real Madrid na Ureno zenye jina lake, sasa nyota huyo mwenye miaka 29 ameingia kwenye biashara mpya ambapo ataiona nembo yake ya CR7 kwenye miguu ya watu.
Mshambuliaji huyo wa Madrid alianika biashara yake ya viatu kupitia ukurasa wake wa facebook ambayo ilipendwa na watu zaidi ya milioni 93.
Viatu hivyo vyenye nembo yake ni vya mtoko wa kawaida  na vina nembo ya Ronaldo. Vitaanza kuonekana sokoni mwezi februari mwakani.
New business venture: Cristiano Ronaldo has unveiled a premium range of footwear, to be released in February
Biashara mpya: Viatu vya Cristiano Ronaldo vitapelekwa sokoni mwezi februari mwakani.
Back-heel: The loafer has a metal plate at the back of the shoe with 'Cristiano Ronaldo' embossed on it
Fresh design: The insole of this Ronaldo shoe has the CR7 logo by the heel
Kumbuka jina: The CR7 logo na jina lake vimehusika kwenye utengenezaji wa kiatu hicho.
Follow in Ronaldo's footsteps: The rubber soles of this design have the CR7 logo stamped into them
Laba hii ina nembo ya  CR7 

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog