Bondia
Ibrahimu Maokola akijifua Okaido GYM iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili
ya kujitaharisha na mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani
Mkalakala mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo
Mbagala Agosti 9.

mbagala Agosti 9,2014.
Bondia
Ibrahimu Maokola akifanya mazoezi ya kuimalisha misuli ya tumbo kwa
ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Mkalakala
litakalofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo Mbagala siku ya ya
Agosti 9.2014.
Bondia
Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Ayubu Tezikoma
wakati wa mazoezi yake kwa ajili ya kujiandaa kupambana na Selemani
Mkalakali mpambano wa ubingwa raundi kumi utakaofanyika katika ukumbi wa
Amenya Pub Agosti 9 ,2014.

Bondia Ibrahimu Maokola
Bondia
Ibrahimu Maokola kushoto akipiga beg kubwa kwa kusimamiwa na Athumani
Magambo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani
Mkalakali litakalofanyika Agosti 9 ,2014 katika ukumbi wa Amenya Pub
Mbagala.
0 maoni:
Post a Comment