Divas
wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mbepera(wa
pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai
Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight
Banda wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee
kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii.
Divas
wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa
pili toka kushoto) wakiimba kwa umakini kabisa ili kuwapa ile kitu roho
inapenda mashabiki wao
Digna
Mbepera akipiga Vocal Kaliii kabisa na kwa madaha ili kuwapa burudani
mashabiki na wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village Ijumaa
iliyopita.
Anaitwa Mkali wa Sauti ya mtetemo Mary Lucos akiimba Vizuri kabisa ili kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village
Tamu ya warembo Sam Mapenzi akizitiririsha Sauti kaliiii na zenye utamu kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band.
Le
Meneja Her Self Aneth Kushaba akiwa na furahaa sana kuona mashabiki wao
wanapata kile wanachokiitaji kutoka kwao na si kingine ni burudani
iliyokwenda shule.
Babaa
ya Kongo Sony Masamba Akizipiga zile za kikongo kwa umakini kabisaaaaa
ndani ya Thai Village ili kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Uniongozeeeee
bila neema zako siwezi kwendaaaaaa,kwa mkono wako kweliiiiiiii
umenibarikiiiiii Le Meneja Her Self Aneth Kushaba akiimba kwa Hisiaaaa
kali…Nyimbo za kusifu zinahusika pia.
Baraka
zakooo ziweee na Mimiiiiii kwa mkono wakooo kweliii umenibarikiiiiiiiii
Le Meneja Her Self Aneth Kushaba(katikati)akiimba kwa upoleeee kabisaaa
kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Hashimu Donode Akizipigaaa Sauti kali na zenye mpangilio ndani ya Thai Village
Aneth
Kushaba(wa kwanza kushoto)akiwa na Digna Mbepera (wa pili toka kushoto)
wakiimba kwa kupokezana kwa rahaaaa zaooo,yote ikiwa ni kuwapa burudani
mashabiki wao.
0 maoni:
Post a Comment