Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ akizikonga nyoyo za mashabiki wa Dar Live katika Usiku wa Mnyama na Wanyama.
Mwanamuziki Jafarai akipagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
TID akitunzwa Cheni na shabiki wake.
TID akifanya manjonjo yake mbele ya Naaziz.
Nyomi ikifuatilia burudani za Idd Pili ndani ya Dar Live.
0 maoni:
Post a Comment