NEYMAR
ameweka wazi kuwa atarudi uwanjani agosti 18 mwaka huu kuitumikia
Barcelona katika mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu ya kombe la Joan
Gamper dhidi ya Leon.
Mbrazil huyo alivunjika mfupa wa
uti wa mgongo wakati wa mechi ya robo fainali ya kombe la dunia dhidi ya
Colombia na alizikosa mechi mbili.
Neymar aliwakosa Ujerumani, hatua ya nusu fainali na Uholanzi mechi ya mshindi wa tatu.
0 maoni:
Post a Comment