WACHEZAJI WA COASTAL UNION U-20 WAKIWA UWANJANI NA AFRICAN SPORTS |
MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO KULIA AKIWA NA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA COASTAL UNION SALIMU AMIRI KUSHOTO |
MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO AKIWA NA MWAVULI AKIANGALIA MECHI YA COASTAL UNION U 20 NA AFRICAN SPORTS HUKU MVUA IKIENDELEA KUNYESHA KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI LEO |
WAJUMBE WA KAMATI TENDAJI COASTAL UNION SALIM AMIRI KUSHOTO NA SALIM BAWAZIRI KULIA WAKIFUATILIA MCHEZO HUO |
KOCHA MKUU WA COASTAL UNION YUSUPH CHIPO KULIA AKITOA MAWAIDHA KWA WACHEZAJI WA KIKOSI CHA U 20 LEO |
WA KWANZA KULIA NI KOCHA MSAIDIZI WA COASTAL UNION BENARD MWALALA ANAYEFUATIA NI KOCHA MKUU YUSUPH CHIPPO WAKIANGALIA MAWAIDHA YANAYOTOLEWA NA KOCHA WA U 20 JOSEPH LAZARO LEO |
0 maoni:
Post a Comment