Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye viwanja wa Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na watalaamu wa magonjwa ya figo katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo, kwenye viwanja vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014.Kutoka kushoto ni Dr. Tulizo Sanga wa Muhimbili, Kulindwa Kasubi wa Muhimbili na Regina Ringo wa Hospitali ya Mirembe ya Dodoma. Katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa wa Taasisi ya Taifa ya Figo Tanzania Jaji Frederick Werema na kushoto kwake ni Dr. Linda Ezekiel kutoka Wizara ya Afya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baadhi ya viongozi baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo kwneye viwanja vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dr. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwanasheria Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Figo, Jaji Frederick Werema.
0 maoni:
Post a Comment