Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Edward Lowasa na Anna Tibaijuka
wakimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Bunge maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta
Mara baada ya Kutangazwa Kuwa Mshindi wa Nafasi hiyo kwa Idadi ya Kura
487 dhidi ya Hashim Rungwe aliyepata kura 69 na kura zilizoharibika ni
7
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba na aliyekuwa Mgombe katika nafasi ya
Uenyekiti Bw. Hashim Rungwe akinadi Sera zake kwa wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba kabla ya zoezi la Upigaji kura kwa nafasi hiyo jana
Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Edward Lowasa akiweka karatasi ya Kura
yake ya Kumchagua Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba jana Mjini
Dodoma
Baadhi
ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Wakipiga Kura Kwa ajili ya Nafasi
Ya Mwenyekiti wa Bunge Hilo Iliyokuwa Ikiwaniwa na Bw. Edward Lowasa na
Bw. Hashim Rungwe jana Mjini Dodoma.
0 maoni:
Post a Comment