Friday, July 11, 2014

article-2687497-1F8DF1E800000578-750_634x446Usajili mzuri: Kuna imani kuwa Asernal wanaweza kufanya makubwa msimu ujao baada ya kumsajili  Sanchez.
article-2687497-1F8DF0E800000578-607_634x430Maisha mapya: Alexis Sanchez akipozi katika picha akivalia jezi yake ya Asernal kama ishara ya kufungua ukurasa mpya wa maisha ya soka. 
ARSENAL imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Barcelona, Alexis Sanchez – kwa dau la paundi milioni 30.
Kwa usajili huo, Asernal wanaamini nyota huyo ataweza kuwasaidia katika harakati zao za kutafuta ubingwa wa ligi kuu msimu ujao pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Nyota huyo wa Chile ambaye alikatisha likizo yake na kwenda London kukamilisha usajili, alifuzu vipimo vya afya na kukubali kusaini mkataba wa miaka minne-huku kukiwa na kipengele cha kuongeza miezi 12 na mshahara utakuwa paundi laki moja na elfu 40 kwa wiki.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog