KATIKA
fainali za mwaka 1986, Diego Maradona aliifungia Argentina au kutoa
pasi za mwisho katika mabao 10 ya nchi hiyo. Mwaka huu, Messi amefunga
au kutoa pasi katika mabao 8 ya Arggentina. Maradon pia alikabiliana na
Ujerumani (Ujerumani Magharibi kwa wakati huo) katika mchezo wa fainali,
lakini hakufunga goli katika mechi hiyo.
0 maoni:
Post a Comment