Leo hii Stamina ametengeneza gumzo kwa mashairi yaliyo katika wimbo wake
mpya na Nay wa Mitego "Huko Kwenu Vipi" ambao wamejibizana kuhusu mziki
wa kuimba na mziki wa hiphop (Ngumu)
Lengo kubwa katika ngoma hii ni kutuweka pamoja wasani, kusiwe na tabaka
la bongo fleva hivi hiphop hivi wote tuwe kitu kimoja amesema Stamina.
huu ni mmoja kati ya mashairi yaliyoko katika wimbo huo .
Stamina " kwa kupost picha insta, hilo mnaongoza,
utaskia mjengo wangu mpya kumbe umepanga mnajiongeza. naskia daily mpo
gym eti mnatanua vifua, wakati mkirudi makweni wengi wenu mnajichubua
0 maoni:
Post a Comment