Real Madrid walilazimishwa Sare ya Bao 1-1 na Real Vallodolid na hilo ni pigo kwao kutwaa Ubingwa na pia kumpoteza Staa wao mkubwa Cristiano Ronaldo aliecheza Dakika 8 tu za kwanza na kupumzishwa baada kujisikia maumivu na nafasi yake kuchukuliwa na Chipukizi Alvaro Morata.
Hivi karibuni Ronaldo amekuwa akikabiliwa na tatizo la Musuli za Pajani ambalo lilimweka nje kwa Wiki 3.
Real sasa wako Pointi 4 nyuma ya Vinara Atletico Madrid na Mechi zimebaki 2 tu.Kipindi cha kwanza dakika ya 34 Sergio Ramos ndiye aliyeziona nyavu za Valladolid na kuwapatia bao la kwanza Real Madrid kwa kufanya 1-0 dhidi ya wenyeji Valladolid.Ramos akishangilia bao lake
Dakika za lala salama, Dakika ya 85 Humberto Osorio aliyeingia akitokea benchi katika dakika ya 74 ndie aliyewamaliza kwa kusawazishia bao kwa kufanya 1-1.
VIKOSI:
Valladolid: Jaime, Rukavina, Valiente, Mitrovic, Pena, Alvaro Rubio, Perez, Jeffen, Oscar, Bergdich, Guerra
Subs: Marino, Rueda, Baraja, Sastre, Omar, Larsson, Osorio
Real Madrid: Casillas, Pepe, Ramos, Coentrao, Ronaldo (Morata 9'), Benzema, Alonso, Nacho, Modric, Di Maria, Isco.
Subs: Diego Lopez, Khedira, Marcelo, Casemiro, Illarra, Llorente

0 maoni:
Post a Comment