Monday, August 10, 2015


www.bukobasports.comBao la tatu limefungwa kipindi cha pili dakika ya 59 na Vincent Kompany kwa kichwa baada ya kupigwa kona na David Silva. Picha hapo juu ni Fernandinho akimpongeza Yaya Toure baada ya kuipa bao tena. Ushindi huu mwepesi kwa City umewapandisha juu kileleni na kuanza msimu vyema na kwa kupata bao nyingi kuliko wengine walianza msimu rasmi tangu hapo jumamosi agosti 8. Mechi inayofuata kwa City ni huko kwao Etihad kuwakaribisha Mabingwa wa England Chelsea jumapili agosti 16.Yaya Toure akipongezwa baada ya kuipa City bao la piliYaya Touré dakika ya 9 anaipa bao la kuongoza Man City kwa kufanya 1-0 dhidi ya West Brom Albion. Bao la pili lilifungwa pia na huyo huyo Yaya Touré dakika ya 24 na mtanange kwenda mapumziko City ikiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Wenyeji West Brom.VIKOSI:
West Brom wanaoanza 11:
Myhill, Chester, Dawson, Lescott, Brunt, Morrison, Gardner, Fletcher, McClean, Berahino, Lambert
WBA Akiba: Rose, Olsson, Yacob, McManaman, Sessegnon, Anichebe, Ideye
Manchester City wanaoanza 11: Hart, Sagna, Kompany, Mangala, Kolarov, Toure, Fernandinho, Navas, Silva, Sterling, Bony
Man City Akiba: Caballero, Zabaleta, Denayer, Demichelis, Nasri, Iheanacho, Aguero

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog