Monday, August 10, 2015


Shane Long Dakika ya 79 aliisawazishia bao Southampton na Mtanange kumalizika dakika 90 kwa sare.
Georginio Wijnaldum kipindi cha pili dakika ya 48 aliwaongezea bao la pili Newcastle United na kufanya we mbele ya bao 2-1 dhidi ya Southampton.
 Dakika ya 42 Papiss Demba Cisse aliisawazishia bao Timu yao na kufanya 1-1 na mtanange kwenda mapumziko ukiwa sare ya 1-1.
 Graziano Pellé dakika ya 24 aliifungia bao la kuongoza kwa kichwa ambacho kipa wa Newcastle United aliingia nao ndani ya nyavu baada ya kupata krosi kutoka kwa Cédric.Papiss Cisse akitamba dakika ya 43Massadio Haidara akimchomoka Dusan

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog