Monday, August 10, 2015



James Milner, Martin Skrtel, Emre Can na Roberto Firmino wakifurahia bao la Philippe Coutinho kwenye dakika za mwishoni kwenye Uwanja wa Stoke City Britannia Stadium1-0 full time!
Akiachia shuti kali lililozama moja kwa moja langoni

Jordan Henderson akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao

Mchezaji wa Stoke  Glen Johnson akituliza kiuzuri mpira mbele ya Meneja wa Liverppool Brendan Rodgers

Mchezaji mpya wa Liverpool, Milner, akioneshwa kadi ya njano na refa Anthony Taylor kwa kumfanyia rafu mbaya Charlie Adam

Henderson chini akijiuguza baada ya kufanyiwa ndivyo sivyo!

Joe Gomez  dhidi ya Straika  Jonathan Walters kwenye Uwanja wa  Britannia ambapo Liverpool walishinda bao lao na kujinyakulia pointi 3 muhimu dakika ya 86.

Martin Skrtel na  Simon Mignolet wakichuana vikaliBrendan Rodgers akijionea wapya aliosajili msimu huu.
Philippe Coutinho dakika ya 86 aliipa bao la ushindi na kuibuka na pointi 3 muhimu leo kwenye ufunguzi msimu mpya ulioanza rasmi jana Benteke akiendesha mpira...kipindi cha kwanza.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog