Wachezaji
wa Simba SC wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa
na mechi dhidi ya AFC Leopards mwezi ujao katika tamasha la Simba Day
litakalofanyika na baadaye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kulia ni
kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mserbia Dušan Momcilovic. |
0 maoni:
Post a Comment