Mabingwa
wa England Chelsea wanebamizwa Bao 4-2 na New York Red Bulls wakati
Kijana wa Miaka 16 akiwatoboa moja ya Bao hizo huko Red Bull Arena, New
York katika Mechi yao ya kwanza Ziarani USA.
Bao za Chelsea zilifungwa na Loic Remy na Eden Hazard lakini ni New York Red Bulls waliokwenda mbele 3-1 huku Tyler Adams, Kijana wa Miaka 16, akipiga moja ya Bao hizo.
Bao Nyingine za Red Bull zilifungwa na Franklin Casterllanos na Davis Bao 2.
Mechi ifuatayo kwa Chelsea ni hapo Jumamosi dhidi ya PSG.Adams akichuana na OscarVictor Moses Wachezaji wa Chelsea wakipongezana bao laoDiego Costa akituliaza mpiraCosta chupuchupu apate bao hapaEden Hazard akiruka juu kumpita aduiRamires akiparanganyika kwenye patashika kuutafuta mpira

0 maoni:
Post a Comment