Taarifa kutoka huko Brazil zimedai Manchester United inamsaka Chipukizi wa Klabu ya Atletico Paranaenese Douglas Coutinho.
Ukata wa Kifedha umeifanya Atletico Paranaenese iwe tayari kumuuza Staa wao huyo wa Miaka 20 na inasemekana Wawakilishi wa Douglas Coutinho Wiki ijayo watatua Ulaya kuanza mazungumzo.
Mbali ya Man United, pia inadaiwa Atletico Madrid na AS Monaco pia zinamfuatilia Coutinho.

0 maoni:
Post a Comment