NYOTA Cristiano Ronaldo aliifungia Bao la pekee Nchi yake Portugal kwenye Mechi ya Kundi I la EURO 2016 na kuweka Rekodi ya kuwa Mfungaji Bora kwenye Mashindano ya Nchi za Ulaya, Mabingwa wa Dunia Germany walihaha kuupata ushindi wa Bao 4-0 dhidi ya Nchi mpya Ulaya, Gibraltar.
Ronaldo, ambae ndie Nahodha wa Portugal, alifunga Bao hilo pekee dhidi ya Armenia katika Dakika ya 72 na kufikisha idadi yake ya Magoli ya Mashindano ya EURO kufikia 23 na kuwapita Jon Dahl Tomasson wa Denmark na Mchezaji wa Turkey Hakan Sukur waliokuwa na Bao 22 kila mmoja.Ronaldo akipongezwa na wenzakeMashabiki wa Portugal wakiishangilia timu yaoFrii kiki akiitaka kuipiga Ronaldo.Nani nae alikuwepo kwenye mchezo huo

0 maoni:
Post a Comment