EURO 2016: ENGLAND 3 vs 1 SLOVENIA, ROONEY NA DANNY WELBECK WAIPA USHINDI ENGLAND! ROONEY ACHEZA MECHI YA 100, AFUNGA BAO!
Wayne Rooney akishangilia bao lake la mkwaju wa penati baada ya kusawazisha bao na kuweka 1-1 kwa bao walilokuwa wamejifunga wao wenyewe kupitia kwa Jordan Henderson usiku huu tarehe 15.11.2014 na Mtanange huo kumalizika kwa 3-1, England wameibuka Kidedea.
Wayne Rooney Usiku huu Uwanjani Wembley amecheza Mechi yake ya 100 wa England na pia kuwanasua toka Goli 1 nyuma na kusawazisha walipocheza na Slovenia Mechi ya Kundi E na hatimae kushinda Bao 3-1.
Kabla ya Mechi kuanza, Rooney alikabidhiwa Kofia ya Dhahabu na Sir Bobby Charlton ikiwa ni Tuzo kwa kuichezea England Mechi 100.Mapema kabla ya mechi Wayne Rooney alitinga Uwanjani hapo na Wanae Klay na KaiAlipewa kofia ya DhahabuKikosi cha England.Wachezaji wa Slovenia wakipongezana baada ya kupata bao.Viongozi wa England na wachezaji wa Akiba
Jordan Henderson alijifunga bao dakika ya 57' na kuwapa zawadi ya bao Slovenia ya bao 1-0 lakini baadae England walisawazisha kupitia kwa Wayne Rooney katika dakika ya 59 na kufanya 1-1 baada ya kwenda 0-0 kipindi cha kwanza.
Danny Welbeck aliwaongezea bao la pili England na kufanya 2-1 katika kipindi cha pili hiho hicho katika dakika ya 65.Danny Welbeck akifanya yake..
Danny Welbeck alifunga bao lake la pili tena na kufanya 3-1 katika dakika ya 72. Ushindi huu umeifanya England ipae kileleni ikiwa na Pointi 12 ikifuatiwa na Lithuania na Slovenia zenye Pointi 6 kila moja.Danny Welbeck baada ya kuziona nyavu za Slovenia3-1 Danny Welbeck akitupia..Danny Welbeck akimchungulia kipa wa SloveniaDanny Welbeck akishangilia na wenzake bao.Roy Hodgson akiwa karibu na Kocha msaidizi wake Ray Lewington (kulia).Wachezaji wa England wakishangilia..Danny Welbeck akipongezwa na Sterling baada ya kuifungia Timu bao la tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Slovenia.
0 maoni:
Post a Comment