Saturday, July 19, 2014

DICKSON ISHENGOMA NA ROSE MBABAZI WAMEREMETA LEO BUKOBA!

Bi. Harusi Rose Mbabazi akiwa na Mpambe wake kwenye Gari tayari kuelekea Kanisa kuu Cathedral Bukoba.
Wakiwa Kanisani tayari





Bwana Harusi Dickson  akamvisha pete mkewe Rose Mbabazi leo hii Kanisani.
Bibi Harusi Rose Mbabazi akimvisha Pete Mumewe Bw. Dickson Ishengoma

Waumini waliohudhuria ibada hiyo wakiwa kwenye Furaha


Uthibitsho wa ndoa ni vyeti vya ndoa, Na hapa Maharusi wakitia saini katika vyeti vyao.
Bi. Harusi akimwaga wino kwenye Cheti



Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada hiyo (Hawapo Pichani)













KUPATA PICHA ZAIDI JIBONYEZEE HAPA CHINI....









0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog