Saturday, July 19, 2014




MIAMBA ya Urusi, Zenit itaanza raundi ya tatu ya kufuzu kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya kwa kuvaana na AEL Limassol .
Vijana wa Andre Villas-Boas walicheza hatua ya 16 msimu uliopita kabla ya kutolewa na Borussia Dortmund kwa wastani wa mabao 5-4, wakati timu ya Cypriot ya AEL iliishia hatua ya makundi katika msimu wa 2012-13.
Copenhagen waliomaliza mkiani katika kundi B msimu uliopita watachuana na Dnipro Dnipropetrovsk, wakati Red Bull Salzburgg-ambao walicheza hatua ya mwisho ya 16 ya ligi ya Europa watakabiliana na Valletta au Qarabad.
Feyenoord watachuana kwa mara ya kwanza na Besiktas ya Uturuki wakiwa na mchezaji wao mpya, Demba Ba.

DROO NZIMA HII

Limassol vs Zenit, Dnipro Dnipropetrovsk vs Copenhagen, Feyenoord vs Besiktas, Grasshoppers vs Lille, Standard Liege vs Panathanaikos, Valletta or Qarabag vs Red Bull Salzburg, Cliftonville or Debrecen vs BATE Borisov or KC Skenderbeu, Slovan Bratislava or The New Saints vs Sheriff or Sutjeska, Aalborg vs Dinamo Zagreb or Zalgiris, Legia Warsaw or Saint Patrick's Athletic vs KR or Celtic, Dinamo Tbilisi or Aktobe vs Stromsgodset or Steaua Bucharest, Zrinjski or Maribor vs Santa Coloma or Maccabi Tel-Aviv, Rabotnicki or HJK Helsinki vs APOEL, Sparta Prague or Levadia Tallin vs Malmo or Ventspils, Ludogorets or F91 Dudelange vs Partizan or HB Torshavn

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog