Saturday, March 22, 2014


Wataalamu wanaendelea na juhudi za kuchunguza iliko ndege ya Malaysia
China imeanza kuchunguza picha mpya za setilite zinazoonyesha kitu kama mabaki ya ndege kwenye eneo la kusini mwa bahari ya Hindi.
Picha hizo ni muhimu kwa ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea, maafisa wa Malaysia wanasema.
Kaimu Waziri wa Usafirishaji Hishammuddin Hussein amesoma taarifa hiyo baada ya kukabidhiwa ambapo amesema kuna kitu kama mabaki ya ndege chenye ukubwa wa mita 30 kwa 22 kilichoonekana.
Amesema serikali ya China itaendelea kutoa taarifa zaidi hapo baadae.
Ndege MH370 mali ya Shirika la ndege la Malaysia ilipotea kwenye masiliano ilipokuwa imeondoka kutoka Kuala Lumpur kwenda Beijing march 8 ikiwa na abiria 239.


Respected: Ferguson poses with Nesbitt and Vice-Chancellor Professor Richard Barnett on Thursday
Sir Alex Ferguson (katikati) akiwa amesimama na viongozi wa chuo cha Ulster Ireland baada ya kupewa degree ya heshima kutokana na mchango mkubwa aliyoutoa kwenye soka hususani Man utd. Katika maneno yake mbele ya wanachuo 500 Sir Alex alisema ' Najivunia kupokea degree hii ya heshima kutoka kwenye chuo kikubwa kama hiki. Ninayo furaha sana kuona hata chuo kimeona mchango wangu na kufikiria kunipa tuzo. Hii ni ishara tosha kuwa mafanikio yangu katika soka yatawahamasisha pia wanachuo ambao wana ndoto ya kutimiza mambo makubwa kwenye maisha yao kwa kudumisha yale niliyokuwa nayaamini kama chachu ya mafanikio ambayo ni bidii na tabia njema'.
Proud moment: Sir Alex Ferguson has received an honorary degree for his outstanding contribution to football Proud moment: Sir Alex Ferguson has received an honorary degree for his outstanding contribution to footballSpeech: Ferguson speaks to students after receiving his honorary degree from the University of Ulster


Unhappy ending: Robin van Persie was carried off on a stretcher after scoring three against Olympiacos
Matokeo ya vipimo vya majeraha aliyoyapata Van Persie kwenye mechi dhidi ya Olympiacos yameonesha mchezaji huyu atakuwa kwenye matibabu kwa wiki sita. Majibu ya vipimo hivi yamekuwa tofauti ya fikra za wengi akiwemo kocha Moyes waliofikiri RVP amepata majeraha madogo. Kutokana na majeraha haya RVP ataweza kukosa mechi zifuatazo;

Mar 23: West Ham (A)
Mar 25: Man City (H)
Mar 29: Aston Villa (H)
Apr 1: Bayern Munich (H)
Apr 5: Newcastle (A)
Apr 9: Bayern Munich (A)
Apr 20: Everton (A)
Apr 26: Norwich (H)


Ronaldo, Pepe na wapenzi wao wakiangalia mechi ya basketball kati ya Real Madrid na CSKA Moscow
Keen eye: Cristiano Ronaldo and model girlfriend Irina Shayk watched Real Madrid's basketball teamPepe was also in the capital Cristiano Ronaldo and Irina Shayk
Game for a laugh: Pepe (right) shares a joke with Ronaldo and Irina during a break in play
The look of love: Ronaldo and Irina Shayk Interested? The Russian super model takes her eyes off the action
Pretty in pink: Arsenal stars are focused on the pool table
Alex Oxlade-Chamberlain, Keiran Gibbs na  Aaron Ramsey wakicheza pool.

No diggity: Rio Ferdinand posted a video of him singing along to Blackstreet's 'No Diggity'
Rio Ferdinand akiwa mwenye furaha huku akiimba ndani ya gari yake siku ya alhamisi asubuhi siku moja baada ya United kuipiga Olympiacos. 
Spectator: Ramsey was at Twickenham to see Wales beaten by England in the Six Nations
 Kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey akiwa uwanjani kuangalia mechi ya Ragbi wakati Wales ikiifunga England. 
All smiles: Pique poses with his partner Shakira at the launch of her self-titled new album in Barcelona
Pique akiwa na mke wake Shakira siku ya uzinduzi wa album ya kumi ya Shakira jijini Barcelona 
Barca star: Pique was happy tot take time away from his team's preparations for Sunday's El Clasico
Neymar relaxes in Disneyland Paris before the Clásico
Neymar na Silva wakiwa Disneyland jijini Paris wiki hii.  

Standing tall: Brazilian team-mates Thiago Silva (left) and Neymar (right) pose with The Invincibles
Happy Father's Day, Messi!
Messi akitekeleza majukumu ya ubaba akiwa amembeba mtoto wake Thiago

Thursday, March 20, 2014

SAM_2237  
Hawa jamaa wanapokuja na njiwa au kuku uwanjani wanamaanisha nini?, au ndio mikwara kwa wapinzani?. Lakini njiwa hawa huwa hawaonekani pale timu inapofungwa.SAM_2239 SAM_2240Unaanzaje kumwambia shabiki kama huyu, mwenye mapenzi makubwa na klabu yake ahamie timu nyingine. Lakini wapo watu wanaendesha klabu watakavyo, wanasahau kuwa kuna uwepo wa watu wenye hisia kali kama huyu jamaa. 
Unamtesa sana unapoleta longolongo nyingi kwenye mambo ya msingi yahusuyo timu. Usishangae kumuona kazimia au kazirai kwasababu ya mtu mmoja kuharibu mambo.


KINYANG`ANYIRO cha ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2013/2014, bado kinabaki kuwa kitendawili kwa timu zilizopo juu katika msimamo.
Sare ya bao 1-1 jana uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam baina ya vinara Azam fc dhidi ya Yanga imezidi kuweka mazingira magumu kwa mabingwa watetezi, Young African.
Katika mchezo huo  uliovuta hisia za mashabiki, Yanga walikuwa wa kwanza kufunga bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Didier Kavumbagu, lakini Azam fc walisawazisha dakika za lala salama kupitia kwa kinda, Kevin Friday.
Hiyo ilikuwa mechi ya 19 kwa Yanga, wakati kwa Azam fc ilikuwa ya  20, huku wakijikusanyia pointi 44, wakati Wanajangwani wakivuna pointi 40 katika nafasi ya pili.
Yanga SC wamebakiza mechi 7, wakati Azam fc wamebakiza mitanange  6.
PICHA YA PG.24 
Mtatwaa Ubingwa? : Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la Didier Kavumbagu jana uwanja wa Taifa
Wikiendi hii timu zote zitashuka dimbani. Yanga watasafiri mpaka mkoani Tabora kuwafuata maafande wa Rhino Rangers, wakati jumapili machi 23, Azam fc watawakaribisha JKT Oljoro,  uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Rhino Rangers ndio wanaoburuza mkia katika msimamo wakiwa wameshacheza mechi 21 na kujikusanyia pointi 13 tu kibindoni.
Kwa asilimia kubwa, maafande hawa wa Tabora, wameshachungulia kushuka daraja na inawezekana hakuna muujiza wa kubaki ligi kuu msimu huu kwasababu ya mazingira yao.
_DSC0044 
Mchezo dhidi ya Yanga utakuwa mkali endapo bado Rhino wanahitaji ushindi.
Lakini imani yao imeshuka na wanacheza bora liende na wameshapoteza matumanini ya kuendelea kucheza ligi kuu.
Pointi 13 kwa mechi 21 ni chache sana, zinahitajika nguvu za ziada kushinda mechi zote 5 walizobakiza, hapo sasa tunaweza kuzungumza mengine.
Yanga wataingia uwanjani wakiwa ma matokeo ya sare ya jana na suluhu ya Mtibwa Sugar wiki iliyopita uwanja wa Jamhuri.

Nokia-X-Dual-SIMNokia_X_familyNAIROBI, KENYA – 20th March, 2014 – Bharti Airtel (“Airtel”), a leading telecommunications services provider with operations in 20 countries across Asia and Africa and Nokia have announced that the new Nokia X smartphone will be available to purchase across 17countries in Africa from mid April 2014.
Designed for consumers in high-growth markets, the affordable Nokia X offers stunning design, a seamless user experience and access to the world of Android™ apps. Out of the box, they can enjoy signature Nokia experiences including free* HERE Maps, with true offline maps and integrated turn-by-turn navigation. The Nokia X family is also an affordable introduction to the most popular Microsoft services, including free cloud storage using OneDrive and Outlook.com.
An affordable introduction to the Nokia X family
The first offering, the flagship Nokia X, is beautifully crafted with Nokia’s signature design approach. The handset boasts a 4” capacitive display and exchangeable back covers that come in a variety of bold colours. Inside, the device runs on the Nokia X Software Platform and is powered by a1Ghz dual core Qualcomm® Snapdragon™ processor. Tile-based icons give the Nokia X’s user interface a fresh look, while by the upgraded Fastlane feature makes switching between favourite apps and content even smoother. 
Commenting on the partnership, Airtel Africa Chief Marketing Officer, Andre Beyers said: “This is yet another first from Airtel and Nokia. As Africa’s largest Internet provider, we are excited that Airtel customers in 17 countries will be amongst the first in the world to enjoy a unique combination of Nokia’s stunning design and user experience integrated with a wide range of services. In addition, Nokia X will come with data bundles for our customers to access their favorite social sites and chat applications.”
“We are delighted to partner with Airtel to offer the Nokia X smartphone” said Timo Toikkanen, executive vice president, Mobile Phones, Nokia. “Consumers can enjoy their favourite apps, the best of signature Nokia experiences and the most popular Microsoft Internet and cloud services, wrapped-up on a smartphone that holds-on the Nokia promise.”

SMART_d54ac.jpg
Dar es Salaam. Kampuni ya Microsoft, inayojishughulisha na utengenezaji wa kompyuta pamoja na programu, imebuni mbinu mpya ya kukabiliana na wizi wa mitandaoni ambao umezisababishia hasara benki, kampuni na watu binafsi katika maeneo mengi duniani

Mkakati huo umekuja wakati benki nyingi nchini zikiathiriwa na wizi huo kupitia mashine za kutolea fedha maarufu kama ATM pamoja na miamala inayofanyika kupitia mifumo ya mawasiliano ya kompyuta.
Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha Oktoba 2012 hadi Februari 2013, Tanzania inakadiriwa kuwa Sh700 milioni ziliibwa katika benki kwa nyakati tofauti.
Kutokana na hali hiyo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu aliziagiza taasisi za fedha kuchukua hatua ili kukabilina na hali hiyo.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Microsoft, David Finn imeeleza kuwa wamebuni kompyuta mpya pamoja na programu ambazo zinaziba mianya ya wizi. Imeweka wazi kuwa uuzaji holela wa programu za kompyuta duniani umekuwa chanzo cha wezi hao kutumia ujanja katika kufahamu taarifa za siri zilizohifadhiwa kwenye kompyuta za taasisi na hata watu binafsi zilizounganishwa kwenye mtandao.
"Kampuni na taasisi na Serikali zinashauriwa kununua kompyuta mpya kwa mawakala maalumu zitakazowekewa 'software' (programu) zilizo halali," alisema Finn na kuongeza:
"Utafiti uliotolewa mwaka huu na kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya mawasiliano ya kompyuta ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Singapore unaonyesha, wizi wa kwenye mtandao unagharimu kampuni zaidi ya dola za Kimarekani bilioni 315 kwa mwaka sawa na Sh504 trilioni,".
Sehemu ya ripoti hiyo imeeleza kuwa maeneo mengi ya Afrika yanakua kwa kasi katika matumizi ya mitandao kutokana na vitendo vya kiharamia na wengi wamejikuta wakipata hasara kwa kuibiwa fedha zao.
"Wizi wa njia ya mtandao unahamasishwa na tamaa ya pesa bila jasho kwa kutumia werevu wa teknolojia kuingilia na kuchukua taarifa muhimu za mtu, kitambulisho, namba za siri au hata pesa, hivyo Microsoft imedhamiria kudhibiti vitendo hivyo ili kuongeza usalama wa taarifa za wateja," alisema Finn.
Anasema utafiti umebaini kuwa kompyuta 203 zilizo nunuliwa katika maduka 11 tofauti, zilibainika kuwa asilimia 61 ziliathiriwa na programu za kiwizi maarufu kama virusi vinavyoitwa trojans, worms, viruses, hacktools, rootkits na adware




Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela kushoto akikabidhi vifaa mbalimbali kwa kocha wa klab ya Msisiri Daudi Muhunzi ikiwa ni uboreshwaji wa klabhiyo iliyopo CCM Msisiri Kinondoni Dasr es salaam katikati ni mdau wa mchezo huo Ally 

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela kushoto akikabidhi vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi kwa kocha wa klab ya Msisiri Daudi Muhunzi ikiwa ni uboreshwaji wa klab hiyo iliyopo CCM Msisiri Kinondoni Dar es salaam  

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela kushoto akikabidhi vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi kwa kocha wa klab ya Msisiri Daudi Muhunzi ikiwa ni uboreshwaji wa klab hiyo iliyopo CCM Msisiri Kinondoni Dar es salaam 
Na Mwandishi Wetu
Msanii wa filamu za bongo Yusuph Mlela ameibukia katika mchezo wa masumbwi nchini kwa kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi kama vile Glove,Clip bandeji,Proctecta,GumShit kwa klabu ya msisili iliyopo kinondoni Dar es salaam akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa hivyo Mlela alisema nimevutiwa na vijana wenzangu jinsi wanavyojituma kufanya mazoezi hivyo nikaamua kujitolea kidogo nilicho nacho kwa ajili ya kuendereza mchezo huu wa masumbwi katika kata yangu ambapo mimi naishi karibu na maeneo haya hivyowalivyo niomba nichangie nikawa sina jinsi kwa kuwa na mimi mwenyewe siku moja moja nitakuwa nakuja kufanya mazoezi hapa hapa nawaomba wadau wengine wenye uwezo zaidi yangu ata ambao wapo kama mimi wasaidie vijana kwa ajili ya kujiendeleza na mchezo huu waupendao
Nae kocha wa mchezo wa ngumi katika Klabu ya Msisiri Daudi Muhunzi alitoa shuklani zake kwa Mlela kuwakumbuka vijana wenzie ambao walikuwa na huaba wa vifaa vya ngumi kwani yeye amekuwa kama mkombozi katika kata hiyo aliongeza kwa kusema tunaomba wadau wengine waje watusaidie vifaa mbalimbali kama punch bag,pad na maswala ya hudhamini wa  muda mrefu   kwa ajili ya kuendereza gym hii ambayo tunaitumia kwa kuchangia kidogo
Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni   mkurugenzi wa kamÃ¥uni ya LINO International Hashi Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni  Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.

Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria kwenye uzinduzi jijini Dar Es Salaam.

Wednesday, March 19, 2014



Man Utd: De Gea, Da Silva, Jones, Ferdinand, Evra, Welbeck, Giggs, Carrick, Valencia, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Hernandez, Young, Fletcher, Kagawa, Fellaini, Januzaj.

Olympiacos: Roberto, Leandro Salino, Manolas, Marcano, Holebas, Perez, Ndinga, Dominguez, Maniatis, David Fuster, Campbell. Subs: Megyeri, Paulo Machado, Samaris, Haedo Valdez, Papadopoulos, Vergos, Bong Songo.

Klabu ya Man utd imeingia robo fainali ya Uefa champions baada ya kuipiga Olympiacos magoli 3-0. Tofauti na wengi walivyokuwa wakifiria Man utd imeweza kuonesha mpira wa kiwango cha juu na sifa kubwa ziwaendee RVP aliyefunga magoli yote na kipa De Gea aliyeweza kuokoa mipira mingi ya hatari. Kasi na kucheza kwa juhudi kubwa ndiyo chachu ya ushindi wa United hali ambayo ilikuwa ni lazima Olympiacos walale. Ushindi wa leo unarudisha umoja na hari ya kujituma ndani ya uwanja baina ya wachezaji wa Man utd hali ambayo ilikuwa imekufa. Man utd inaongana na washindi wengine saba kuingia kwenye robo fainali ya michuano hii ambao ni PSG, Real Madrid, Chelsea, Bayern Munich, Barcelona, Dortmund na Atl. Madrid. Droo baina ya timu hizi itafanyika ijumaa ya wiki hii.

View image on Twitter
Babu alikuwepo kuwaangalia vijana wake 
Yaya Toure pia alikuwepo uwanjani 



Wayne Rooney
Mshambulizi wa Manchester United Wayne Rooney amesema kuwa kipigo cha mabao 3-0 walichokipata kutoka kwa Liverpool ni kama janga kwake na hiki ndio kipindi kigumu kwake kuwahi kukishuhudia tangu kuanza kucheza soka ya kulipwa.
Steven Gerrard aliingiza mabao mawili kutokana na mikwaju miwili ya Penalti na kukosa la tatu kabla ya Luis Suarez kuongeza bao la tatu.
Mchezaji Nemanja Vidic alifurushwa uwanjani kwa kufanya masihara.
Rooney mzaliwa wa Liverpool mwenye umri wa miaka 28, amesema kuwa hiki ni kipindi kigumu sana kwake na wembe ambao hautoshi hata kumezwa.
"hili ni jinamizi . Ni siku mbaya sana kwangu , sijawahi kuhisi vibaya hivi maishani mwangu nikicheza soka.
''Yaani hata ni vigumu kutafakari. Liverpool ilicheza vyema sana , lakini hii ni hali ngumu kwangu, '' alisema Rooney
''Hakuna anayetaka kushindwa hapa hasa katika uwanja wa nyumbani, sio vizuri.''
Rooney,aliyesaini mkataba mpya na klabu hiyo, mwezi jana , alipata tu fursa moja ya kujaribu kuingiza bao katika mechi hiyo ambayo Liverpool ilidhibiti tangu mwanzoni ingawa hakufanikiwa
Man U wanashikilia nafasi ya saba katika jedwali la pointi , ingawa Rooney anayepokea mshahara wa pauni laki tatu kwa wiki amesema kuwa hajafa moyo sana kutokana na matokeo mabaya ya Manchester United.
Kocha wa klabu hiyo David Moyes amesema kuwa aliachwa kinywa wazi asijue la kusema.



Didier Drogba husakata soka yake Galatasaray

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa gwiji wa soka Didier Drogba angali mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani.
Drogba anayesakata soka yake na klabu ya Galatasaray na ambaye aliondoka Stamford Bridge Juni mwaka 2012, leo anarejea kwa mkondo wa pili wa vilabu vilivyosalia katika kombe la klabu Bingwa Ulaya kufuzu michunao hiyo.
Ikiwa Drogba ataingiza bao huenda asisherehekee uwanjani Stamford Bridge
Mourinho alisema Drogba angali na makali aliyokuwa nayo alipokuwa miaka 26 , na hakuna anayeweza kuwa katika hali hiyo akiwa na umri wa miaka 36. Lakini ni mshambulizi hodari sana.
Drogba amesema huenda hatasherehekea ikiwa ataingiza bao dhidi ya wachezaji wenzake wa zamani.
Mchezaji huyo kutoka Ivory Coast aliingiza mabao 157 katika mechi 342 wakati alipokuwa anachezea Chelsea kwa miaka minane.
Mourinho, aliyemsajili Drogba katika klabu ya Chelsea kutoka Marseille mnamo mwaka 2004, alishangiliwa sana aliporejea katika klabu hiyo mwezi Agosti mwaka jana
baada ya kuwa nje kwa karibu miaka sita.

Anatumai kuwa Drogba atang'aa katika mechi ya leo usiku.
Chelsea itakuwa klabu ya kwanza, kufika robo fainali ya michuano hiyo ikiwa watashinda leo usiku dhidi ya Galatasaray na duru zinasema kuwa Mourinho yuko ngangari


Wafungaji bora wa Uefa champions tokea michuano hii ianzishwe 

#PlayerTeam(s)M.GoalsPenaltyØ
1Raúl * FC Schalke 04
 Real Madrid
1427110.50
2Lionel Messi * FC Barcelona846780.80
3Cristiano Ronaldo * Real Madrid
 Manchester United
996350.64
4Ruud van Nistelrooy Real Madrid
 Manchester United
 PSV Eindhoven
7356100.77
5Thierry Henry * FC Barcelona
 Arsenal FC
 AS Monaco
1125030.45
6Alfredo Di Stéfano Real Madrid584930.84
7Andriy Shevchenko AC Milan
 Chelsea FC
 Dinamo Kiev
1004850.48
8Eusébio SL Benfica654630.71

Filippo Inzaghi Juventus
 AC Milan
814610.57
10Didier Drogba * Chelsea FC
 Olympique Marseille
 Galatasaray
874210.48

Affect: Lionel Messi has missed nine matches this season and has not been as prolific as usual
Leo Messi amebakiza magoli manne kumfikia Raul, kuna uwezekano akaweza kumfikia na hata kumpita msimu huu 
Top form: Cristiano Ronaldo has hit 25 goals in 24 league matches this season for Real Madrid
Ronaldo, amebakiza magoli manne kumfikia Messi na magoli nane kumfikia Raul, Ronaldo ana uwezo wa kumfikia Messi msimu huu ila sio rahisi kumfikia Raul ndani ya mechi tatu zilizobakia kama Madrid watafika fainali. 

waliotembelea blog