Matokeo
ya vipimo vya majeraha aliyoyapata Van Persie kwenye mechi dhidi ya
Olympiacos yameonesha mchezaji huyu atakuwa kwenye matibabu kwa wiki
sita. Majibu ya vipimo hivi yamekuwa tofauti ya fikra za wengi akiwemo
kocha Moyes waliofikiri RVP amepata majeraha madogo. Kutokana na
majeraha haya RVP ataweza kukosa mechi zifuatazo;
Mar 23: West Ham (A)
Mar 25: Man City (H)
Mar 29: Aston Villa (H)
Apr 1: Bayern Munich (H)
Apr 5: Newcastle (A)
Apr 9: Bayern Munich (A)
Apr 20: Everton (A)
Apr 26: Norwich (H)
0 maoni:
Post a Comment