Ronaldo, Pepe na wapenzi wao wakiangalia mechi ya basketball kati ya Real Madrid na CSKA Moscow
Alex Oxlade-Chamberlain, Keiran Gibbs na Aaron Ramsey wakicheza pool.
Rio
Ferdinand akiwa mwenye furaha huku akiimba ndani ya gari yake siku ya
alhamisi asubuhi siku moja baada ya United kuipiga Olympiacos.
Kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey akiwa uwanjani kuangalia mechi ya Ragbi wakati Wales ikiifunga England.
Pique akiwa na mke wake Shakira siku ya uzinduzi wa album ya kumi ya Shakira jijini Barcelona
Neymar na Silva wakiwa Disneyland jijini Paris wiki hii.
Messi akitekeleza majukumu ya ubaba akiwa amembeba mtoto wake Thiago
0 maoni:
Post a Comment